< Return to Video

Ibilisi ANAUCHUKIA UKWELI Huu!

  • 0:00 - 0:08
    Ukiwa ndani ya Kristo Yesu kweli,
  • 0:08 - 0:14
    shetani hawezi kuyapata maisha yako
  • 0:14 - 0:18
    mbali na milango unayomfungulia
  • 0:18 - 0:21
    au milango ambayo Mungu amemruhusu kuingia.
  • 0:21 - 0:25
    Yeye hawezi kuyapata maisha yako.
  • 0:25 - 0:30
    Nguvu pekee aliyonayo
  • 0:30 - 0:38
    ni ile unayemkabidhi (Warumi 6:16).
Title:
Ibilisi ANAUCHUKIA UKWELI Huu!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:39

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions