Ibilisi ANAUCHUKIA UKWELI Huu!
-
0:00 - 0:08Ukiwa ndani ya Kristo Yesu kweli,
-
0:08 - 0:14shetani hawezi kuyapata maisha yako
-
0:14 - 0:18mbali na milango unayomfungulia
-
0:18 - 0:21au milango ambayo Mungu amemruhusu kuingia.
-
0:21 - 0:25Yeye hawezi kuyapata maisha yako.
-
0:25 - 0:30Nguvu pekee aliyonayo
-
0:30 - 0:38ni ile unayemkabidhi (Warumi 6:16).
- Title:
- Ibilisi ANAUCHUKIA UKWELI Huu!
- Description:
-
“Unapokuwa ndani ya Kristo Yesu kiukweli, shetani hana njia ya kuingia katika maisha yako mbali na milango unayomfungulia au milango ambayo Mungu amemruhusu aingie. Uwezo pekee alionao ni ule unaomkabidhi (Warumi 6:16).
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=IcSsUKTvwT8
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:39
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for The Devil HATES This TRUTH! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for The Devil HATES This TRUTH! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for The Devil HATES This TRUTH! |