< Return to Video

Jinsi ya KUBADILI Maisha Yako Mwaka 2024!!!

  • 0:00 - 0:06
    kilicho muhimu ukijiandalia 2024
  • 0:06 - 0:10
    inaanza na kuuchunguza siku
  • 0:10 - 0:14
    kutoka leo hii
  • 0:14 - 0:19
    kwa sababu haijalishi ukuu wa mielekeo yetu
  • 0:19 - 0:23
    ama mipango jua hii
  • 0:23 - 0:29
    maisha yako haitabadilika mwaka wa 2924
  • 0:29 - 0:36
    ila tu ubadilishe mambo ufanyayo kila siku
  • 0:36 - 0:42
    kuwa na bidii mwka wa 2024
  • 0:42 - 0:46
    kaa imara leo
  • 0:46 - 0:50
    ukajitayarishe kwa yale mambo hujaweza kujitayarisha nayo
  • 0:50 - 0:55
    mwaka wa 2024 jali hii siku ya leo
  • 0:55 - 0:59
    kwa kuwa leo ni yako
Title:
Jinsi ya KUBADILI Maisha Yako Mwaka 2024!!!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions