MAISHA yako ya KIROHO ndiyo Injini inayobeba MAFANIKIO yako!
-
0:00 - 0:09Mahali pa kwanza unapaswa kufanikiwa ni maisha yako ya kiroho,
-
0:09 - 0:17kwa sababu maisha yako ya kiroho ndio injini inayobeba mafanikio yako.
-
0:17 - 0:22Ukifanikiwa kifedha bila kufanikiwa kiroho,
-
0:22 - 0:28ni kama kumiliki gari zuri lisilo na injini.
-
0:28 - 0:34Inaweza kuonekana nzuri, lakini haina thamani kwa sababu haiwezi kwenda popote.
-
0:34 - 0:36Thamani yake halisi imepotea.
-
0:36 - 0:39Kusudi lake la kweli halipo.
-
0:39 - 0:43Imekuwa gwaride la mtindo tu.
-
0:43 - 0:49Hivi ndivyo alivyo mtu ambaye anafanikiwa kifedha bila kufanikiwa kiroho.
-
0:49 - 0:51Unaweza kuwaona wakiwa na pesa.
-
0:51 - 0:54Wana pesa lakini bado wana maswali ambayo hayajajibiwa maishani mwao.
-
0:54 - 0:58Wana mali, lakini bado wanalalamikia wasichonacho.
-
0:58 - 1:03Kwa faragha, wakati taa zimezimwa na hakuna mtu anayeangalia,
-
1:03 - 1:08wanalilia wasichonacho.
-
1:08 - 1:12Na kutembeza gari lao bila injini.
-
1:12 - 1:14Ninasemaje, ndugu?
-
1:14 - 1:31“Itamfaa nini mtu kuupata ulimwengu wote na kupoteza nafsi yake?
-
1:31 - 1:40Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?”
-
1:40 - 1:50Usichafue mikono yako kwa ajili ya kitu ambacho hakiwezi kukuhakikishia umilele.
-
1:50 - 2:01Usichafue moyo wako kwa ajili ya mtu ambaye hashikilii hatima yako.
-
2:01 - 2:06Ikiwa mikono yako imejaa pesa, kichwa chako kimejaa taarifa
-
2:06 - 2:11lakini moyo wako ni mtupu, basi maisha yako ni tupu.
- Title:
- MAISHA yako ya KIROHO ndiyo Injini inayobeba MAFANIKIO yako!
- Description:
-
"Mahali pa kwanza upopaswa kufanikiwa ni maisha yako ya kiroho, kwa sababu maisha yako ya kiroho ndio injini inayobeba mafanikio yako. Ukifanikiwa kiuchumi bila kufanikiwa kiroho ni sawa na kumiliki gari zuri lisilo na injini, linaweza kuonekana zuri lakini halina thamani kwa sababu haliwezi kwenda popote. Thamani yake halisi imepotea. Kusudi lake la kweli halipo. Imekuwa gwaride la mtindo tu. Hvii ndivyo alivyo mtu ambaye anafanikiwa kifedha bila kufanikiwa kiroho. Unaweza kuwaona wakiwa na pesa. Wana pesalakini bado wana maswali ambayo hayajajibiwa maishani mwao. Wana mali, lakini bado wanalalamikia wasichonacho. Wakiwa faraghani, taa zinapozimwa na hakuna anayetazama, hulia kwa kile ambacho hawana. Na kutembeza gari lao bila injini. Ninasema nini, ndugu? Mathayo 16:26-27 - ‘Imtafaa nini mtu kuupata ulimwengu wote na kupoteza nafsi yake? Au mtu yeyote anaweza kutoa nini kama mbadala wa nafsi yake?’ Usichafue mikono yako kwa ajili ya kitu ambacho hakiwezi kukuhakikishia umilele. Usichafue moyo wako kwa ajili ya mtu ambaye hashikilii hatima yako. Ikiwa mikono yako imejaa pesa, kichwa chako kimejaa taarifa lakini moyo wako hauna kitu, basi maisha yako ni tupu."
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=4_5Tb_iR9fo
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 02:12
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Your SPIRITUAL LIFE is the ENGINE that carries your SUCCESS! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Your SPIRITUAL LIFE is the ENGINE that carries your SUCCESS! |