-
[Mwalimu] Je, kila kipande ni sawa sawa na
-
1/4 ya eneo la pai?
-
Kwa hiyo tuna pai .
-
na lina vipande moja, mbili, tatu, na nne.
-
Kwa hiyo tuna vipande vinne.
-
Kwa hiyo, kipande chake kimoja ni sawa sawa na 1/4?
-
Tuongelee maana
-
ya kuwa na sehemu kama 1/4.
-
Moja kwenye sehemu ni kiasi,
-
inawakilisha namba ya vipande.
-
Kwa hiyo hapa, tuna kipande kimoja.
-
kipande kimoja cha pai.
-
Na nne, kwenye sehemu
-
ni namba asilia/idadi kamili.
-
Vipande vyenye
-
ukubwa
-
sawa.
-
Kwa hiyo, katika hili nne ni idadi ya vipande.
-
Kwa hiyo, swali ni,
-
katika kila kipande, moja ya nne ni idadi sawa ya vipande ?
-
Tutazame pai.
-
Naona ipo sawa
-
hivi vipande vya mwishoni
-
haviko sawa, ni vidogo
-
kuliko vipande viwili vya katikati.
-
Kama utakuwa unapenda matunda ya pai,
-
hauto furahia kupata vipande vya mwishoni.
-
Sababu ni vidogo.
-
Haviko kwenye vipande vya ukubwa sawa.
-
Kwa hiyo ndio ,kila kipande ni moja kati ya vipande vinne.
-
Lakini si moja ya nne ya vipande sawa.
-
Kwa hiyo si 1/4.
-
Kwa hiyo, jibu letu ni hapana.
-
Hapana, hapana, hapana.
-
Kila kipande si 1/4
-
au mgawanyo sawa wa pai.