Dhambi siku zote hupitiliza ukaribisho...
-
0:00 - 0:08Dhambi siku zote hupitiliza ukaribisho.
-
0:08 - 0:19Inakupa kidogo sana kuliko unavyotamani na inachukua zaidi ya vile unavyofikiria.
-
0:19 - 0:30Dhambi ni kama moto wa nyikani ambao hauwezi kuzuilika mara moja unapowashwa.
-
0:30 - 0:37Hakuna jitihada za kibinadamu za kuizuia zitafanikiwa bila toba.
-
0:37 - 0:50Dhambi itakupeleka mbali zaidi kuliko ulivyo jiandaa kupotea,
-
0:50 - 0:57itakushikilia kwa muda mrefu kuliko vile unavyotaka kukaa,
-
0:57 - 1:02na itakugharimu zaidi ya ulivyo tayari kulipa.
- Title:
- Dhambi siku zote hupitiliza ukaribisho...
- Description:
-
"Dhambi siku zote hupitiliza ukaribisho. Inakupa kidogo sana kuliko unavyotamani na inachukua zaidi ya vile unavyofikiria. Dhambi ni kama moto wa nyikani ambao hauwezi kuzuilika mara unapowashwa. Hakuna jitihada za kibinadamu za kuizuia zitafanikiwa bila toba. Dhambi itakupeleka mbali zaidi kuliko ulivyojiandaa kupotea, itakushikilia kwa muda mrefu kuliko vile ulivyojiandaa kukaa, na itakugharimu zaidi ya ulivyo jiandaa kulipa.”
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=fKTPRrm31L0
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:02
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Sin always outstays its welcome… | May 9, 2025, 10:56 PM |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Sin always outstays its welcome… | May 9, 2025, 10:46 PM |