< Return to Video

Na iwe NURU!!! | MAOMBI YA UKOMBOZI

  • 0:00 - 0:08
    Wewe shetani - popote unapofanya kazi - lazima uondoke leo.
  • 0:08 - 0:12
    Ninakuamuru uondoke na utumwa wako!
  • 0:12 - 0:14
    Ondoka na ndoto zako mbaya!
  • 0:14 - 0:16
    Ondoka na mateso yako!
  • 0:16 - 0:18
    Ondoka na ulevi wako!
  • 0:18 - 0:23
    Lazima uondoke kwa jina kuu la Yesu!
  • 0:23 - 0:26
    Mwamuru huyo shetani aondoke katika maisha yako sasa hivi!
  • 0:26 - 0:29
    Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye familia yako!
  • 0:29 - 0:32
    Mwamuru huyo shetani aondoke nyumbani kwako!
  • 0:32 - 0:35
    Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye ndoa yako!
  • 0:35 - 0:38
    Je, unakabiliwa na wakati wa giza?
  • 0:38 - 0:41
    Wewe si fungu la giza.
  • 0:41 - 0:44
    Wewe ni wa Yesu Kristo.
  • 0:44 - 0:49
    Je, hilo giza linaingilia maisha yako sehemu ipi?
  • 0:49 - 0:56
    Na kuwe na NURU!
  • 0:56 - 0:58
    Pokea NURU nyumbani kwako!
  • 0:58 - 1:01
    Pokea NURU katika familia yako!
  • 1:01 - 1:03
    Pokea NURU katika afya yako!
  • 1:03 - 1:05
    Pokea NURU kwenye ndoa yako!
  • 1:05 - 1:08
    Pokea MWANURUNGA katika kazi yako!
  • 1:08 - 1:10
    Na kuwe na NURU!
Title:
Na iwe NURU!!! | MAOMBI YA UKOMBOZI
Description:

"Wewe shetani - popote unapofanya kazi - lazima uondoke leo. Ninakuamuru uondoke na utumwa wako! Ondoka na ndoto zako mbaya! Ondoka na mateso yako! Ondoka na ulevi wako! Lazima uondoke kwa jina kuu la Yesu! Mwamuru huyo shetani aondoke maishani mwako sasa hivi! Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye familia yako! Mwamuru huyo shetani aondoke nyumbani kwako! Mwamuru huyo shetani aondoke kwenye ndoa yako! Je, unakabiliwa na wakati wa giza? Wewe si wa giza. Wewe ni wa Yesu Kristo. Je, hilo giza linaingilia maisha yako wapi? Na iwe NURU! Pokea NURU nyumbani kwako! Pokea NURU katika familia yako! Pokea NURU katika afya yako! Pokea NURU kwenye ndoa yako! Pokea NURU katika kazi yako! Na iwe NURU!”

Unaweza kutazama muda wote wa maombi pamoja na Kaka Ndugu hapa - https://www.youtube.com/watch?v=LbHZ7X8SkS0

Ili kupokea maombi bila malipo kutoka kwa Ndugu Chris kupitia Zoom, wasilisha ombi lako la maombi hapa - https://www.godsheart.tv/zoom - na Timu ya God's Heart TV itawasiliana nawe kupitia barua pepe katika info@godsheart.tv

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:10

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions