< Return to Video

Kila tamko hasi juu ya maisha yako - LIBATILISHWE!

  • 0:00 - 0:06
    Sijui ni maneno gani mabaya yamesemwa juu ya maisha yako.
  • 0:06 - 0:12
    Lakini najua kwamba maisha yako hayataishia kwenye kiwango cha maneno hayo.
  • 0:12 - 0:19
    Hivi sasa, kila tamko hasi juu ya maisha yako,
  • 0:19 - 0:25
    familia yako, ndoa yako - libatilishwe!
  • 0:25 - 0:29
    Libatilishwe kwa jina kuu la Yesu!
Title:
Kila tamko hasi juu ya maisha yako - LIBATILISHWE!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:29

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions