< Return to Video

Ushauri wa Mahusiano: Usipigane kutoka wenye MAUDHI na usipigane ili KUUDHI!

  • 0:00 - 0:08
    Usipigane kutoka kwa kosa na usipigane ili kuudhi.
  • 0:08 - 0:14
    Pambana kwa sababu ya yaliyo sawa.
  • 0:14 - 0:20
    Ikiwa kilicho sawa kinasababisha uchukizo, ni kati ya mtu huyo na Mungu.
  • 0:20 - 0:27
    Ikiwa kusema kweli kunaleta shida, nawaambieni, watu wa Mungu,
  • 0:27 - 0:31
    Mungu atakutia nguvu katika shida hiyo.
  • 0:31 - 0:36
    Ikiwa kusahihisha makosa kunavunja uhusiano,
  • 0:36 - 0:41
    ichukue kama njia ya Mungu ya kukata uhusiano huo.
Title:
Ushauri wa Mahusiano: Usipigane kutoka wenye MAUDHI na usipigane ili KUUDHI!
Description:

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:42

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions