Ushauri wa Mahusiano: Usipigane kutoka wenye MAUDHI na usipigane ili KUUDHI!
-
0:00 - 0:08Usipigane kutoka kwa kosa na usipigane ili kuudhi.
-
0:08 - 0:14Pambana kwa sababu ya yaliyo sawa.
-
0:14 - 0:20Ikiwa kilicho sawa kinasababisha uchukizo, ni kati ya mtu huyo na Mungu.
-
0:20 - 0:27Ikiwa kusema kweli kunaleta shida, nawaambieni, watu wa Mungu,
-
0:27 - 0:31Mungu atakutia nguvu katika shida hiyo.
-
0:31 - 0:36Ikiwa kusahihisha makosa kunavunja uhusiano,
-
0:36 - 0:41ichukue kama njia ya Mungu ya kukata uhusiano huo.
- Title:
- Ushauri wa Mahusiano: Usipigane kutoka wenye MAUDHI na usipigane ili KUUDHI!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:42
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Relationship Advice: Don’t fight from OFFENCE and don’t fight TO OFFEND! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Relationship Advice: Don’t fight from OFFENCE and don’t fight TO OFFEND! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Relationship Advice: Don’t fight from OFFENCE and don’t fight TO OFFEND! |