< Return to Video

Ushauri wa Mahusiano: Usipigane kutoka wenye MAUDHI na usipigane ili KUUDHI!

  • 0:00 - 0:08
    Usipigane kutoka kwenye maudhi na usipigane ili kuudhi.
  • 0:08 - 0:14
    Pigana kwa sababu ya yaliyo sawa.
  • 0:14 - 0:20
    Ikiwa kilicho sawa kinasababisha maudhi, ni kati ya mtu huyo na Mungu.
  • 0:20 - 0:27
    Ikiwa kusema kweli kunaleta shida, nawaambieni, watu wa Mungu,
  • 0:27 - 0:31
    Mungu atakutia nguvu katika shida hiyo.
  • 0:31 - 0:36
    Ikiwa kusahihisha makosa kunavunja uhusiano,
  • 0:36 - 0:41
    ichukue kama njia ya Mungu ya kukata uhusiano huo.
Title:
Ushauri wa Mahusiano: Usipigane kutoka wenye MAUDHI na usipigane ili KUUDHI!
Description:

"Usipigane kutoka kwenye maudhi wala usipigane ili kuudhi; Piganeni kwa sababu ya haki; ikiwa ni haki husababisha maudhi, ni kati ya mtu huyo na Mungu. Ikiwa kusema kweli kunaleta shida, nawaambieni, watu wa Mungu, Mungu atawatia nguvu katika shida hiyo. Ikiwa kurekebisha uovu huvunja uhusiano, ichukueni kama njia ya Mungu ya kukatiza uhusiano huo."

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=BWyJInXxbLM

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:42

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions