BARAKA mara nyingi huambatana na VITA!
-
0:00 - 0:05Baraka mara nyingi huambatana na vita.
-
0:05 - 0:13Ni vita gani kwa mwili huu vinaweza kuwa na manufaa kwa roho yako.
-
0:13 - 0:19Kile ambacho ni kigumu kwa mwili mara nyingi ni msaada kwa roho yako.
-
0:19 - 0:36Ikiwa unamtumikia Mungu kwa namna iliyo rahisi tu kwako, basi huduma yako itakosa kujitolea.
-
0:36 - 0:38Sisemi hakutakuwa na kujitolea kokote.
-
0:38 - 0:45Kunaweza kuwa na kujitolea kwa sehemu, sio kujitolea kamili.
-
0:45 - 0:47Unajua tatizo hapa?
-
0:47 - 0:53Ikiwa kujitolea kwako kwa Mungu ni kwa sehemu -
-
0:53 - 0:58unamtumikia Mungu kwa namna iliyo rahisi wako tu -
-
0:58 - 1:08na unakabiliwa na hali ambapo imani yako katika Kristo inapingana
-
1:08 - 1:12na imani ya jadi,
-
1:12 - 1:15na matarajio ya kitamaduni,
-
1:15 - 1:20na shinikizo la nafasi,
-
1:20 - 1:24na mambo ya dunia hii...
-
1:24 - 1:30Ikiwa kujitolea kwako kwa Mungu ni kwa sehemu na unakumbana na mzozo kama huo,
-
1:30 - 1:41una uwezekano wa kubaki bila tofauti, kujaribu na kukaa kwenye uzio
-
1:41 - 1:50hasa wakati ambapo kushikilia imani yako kunahusisha maumivu fulani, dhabihu fulani.
-
1:50 - 2:00Lakini ukijaribu kuepuka maumivu katika mwili, hivi karibuni utakaribisha maumivu katika roho.
-
2:00 - 2:10Kwa sababu kile kinachoanza na kuridhika muda si mrefu kitamalizika kwa ukiukwaji wa kanuni.
-
2:10 - 2:13Ni suala la muda tu.
-
2:13 - 2:23Njia ya kukiuka kanuni haina mwisho na inazidi kupanuka.
-
2:23 - 2:30Ndio maana linapokuja swala la mambo ya Mungu, huduma ya Mungu -
-
2:30 - 2:33lazima tujitoe kwa moyo wote.
-
2:33 - 2:36Ahadi kamili, sio sehemu.
-
2:36 - 2:40Hatumtumikii Mungu tu wakati inapotufaa.
-
2:40 - 2:44Hatumtumikii Mungu tu nyakati zinapokuwa nzuri. Hapana!
- Title:
- BARAKA mara nyingi huambatana na VITA!
- Description:
-
"Baraka mara nyingi huambatana na vita. Ni vita gani kwa mwili huu vinaweza kuwa na manufaa kwa roho yako. Kilicho kigumu kwa mwili mara nyingi ni msaada kwa roho yako. Ikiwa unamtumikia Mungu kwa namna tu iliyo urahisi wako, basi huduma yako haiambatani na kujitolea. Sisemi kuwa hakutakuwa na kujitolea. Kunaweza kuwa na kujitolea kwa sehemu, sio kujitolea kikamilifu. Je! unajua tatizo ni lipi hapa? Ikiwa kujitolea kwako kwa Mungu ni nusunusu - unamtumikia Mungu kwa urahisi wako tu - na unakabiliwa na hali ambapo imani yako katika Kristo inapingana na imani ya jadi, na matarajio ya kitamaduni, na shinikizo la nafasi, na mambo ya ulimwengu huu, unaweza kubaki wa kawaida tu, kujaribu na kuketi kwenye uzio hasa wakati kushikilia imani yako kunapohusisha maumivu fulani, dhabihu fulani. Lakini ukijaribu kuepuka maumivu katika mwili, hivi karibuni utakaribisha maumivu katika roho. Kwa sababu kile kinachoanza na kuridhika kitaisha hivi karibuni kitaishia na ukiukwaji wa kanuni za msingi. Ni suala la muda tu. Njia ya ukiukwaji wa kanuni haina mwisho na inazidi kupanuka. Ndio maana linapokuja suala la mambo ya Mungu, utumishi wa Mungu – ni lazima tujitoe kwa moyo wote. Ahadi kamili, sio kwa sehemu. Hatumtumikii Mungu tu wakati inapotufaa. Hatumtumikii Mungu tu nyakati zinapokuwa nzuri. Hapana!”
Unaweza kutazama mahubiri kamili kwenye TV ya Moyo wa Mungu hapa - https://www.youtube.com/watch?v=rGcRR2HdONY
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 02:44
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for BLESSINGS are often accompanied by BATTLES! | May 12, 2025, 8:19 AM |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for BLESSINGS are often accompanied by BATTLES! | May 12, 2025, 8:10 AM |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for BLESSINGS are often accompanied by BATTLES! | May 11, 2025, 4:58 AM |