< Return to Video

BARAKA mara nyingi huambatana na VITA!

  • 0:00 - 0:05
    Baraka mara nyingi huambatana na vita.
  • 0:05 - 0:13
    Ni vita gani kwa mwili huu vinaweza kuwa na manufaa kwa roho yako.
  • 0:13 - 0:19
    Kile ambacho ni kigumu kwa mwili mara nyingi ni msaada kwa roho yako.
  • 0:19 - 0:36
    Ikiwa unamtumikia Mungu kwa namna iliyo rahisi tu kwako, basi huduma yako itakosa kujitolea.
  • 0:36 - 0:38
    Sisemi hakutakuwa na kujitolea kokote.
  • 0:38 - 0:45
    Kunaweza kuwa na kujitolea kwa sehemu, sio kujitolea kamili.
  • 0:45 - 0:47
    Unajua tatizo hapa?
  • 0:47 - 0:53
    Ikiwa kujitolea kwako kwa Mungu ni kwa sehemu -
  • 0:53 - 0:58
    unamtumikia Mungu kwa namna iliyo rahisi wako tu -
  • 0:58 - 1:08
    na unakabiliwa na hali ambapo imani yako katika Kristo inapingana
  • 1:08 - 1:12
    na imani ya jadi,
  • 1:12 - 1:15
    na matarajio ya kitamaduni,
  • 1:15 - 1:20
    na shinikizo la nafasi,
  • 1:20 - 1:24
    na mambo ya dunia hii...
  • 1:24 - 1:30
    Ikiwa kujitolea kwako kwa Mungu ni kwa sehemu na unakumbana na mzozo kama huo,
  • 1:30 - 1:41
    una uwezekano wa kubaki bila tofauti, kujaribu na kukaa kwenye uzio
  • 1:41 - 1:50
    hasa wakati ambapo kushikilia imani yako kunahusisha maumivu fulani, dhabihu fulani.
  • 1:50 - 2:00
    Lakini ukijaribu kuepuka maumivu katika mwili, hivi karibuni utakaribisha maumivu katika roho.
  • 2:00 - 2:10
    Kwa sababu kile kinachoanza na kuridhika muda si mrefu kitamalizika kwa ukiukwaji wa kanuni.
  • 2:10 - 2:13
    Ni suala la muda tu.
  • 2:13 - 2:23
    Njia ya kukiuka kanuni haina mwisho na inazidi kupanuka.
  • 2:23 - 2:30
    Ndio maana linapokuja swala la mambo ya Mungu, huduma ya Mungu -
  • 2:30 - 2:33
    lazima tujitoe kwa moyo wote.
  • 2:33 - 2:36
    Ahadi kamili, sio sehemu.
  • 2:36 - 2:40
    Hatumtumikii Mungu tu wakati inapotufaa.
  • 2:40 - 2:44
    Hatumtumikii Mungu tu nyakati zinapokuwa nzuri. Hapana!
Title:
BARAKA mara nyingi huambatana na VITA!
Description:

"Baraka mara nyingi huambatana na vita. Ni vita gani kwa mwili huu vinaweza kuwa na manufaa kwa roho yako. Kilicho kigumu kwa mwili mara nyingi ni msaada kwa roho yako. Ikiwa unamtumikia Mungu kwa namna tu iliyo urahisi wako, basi huduma yako haiambatani na kujitolea. Sisemi kuwa hakutakuwa na kujitolea. Kunaweza kuwa na kujitolea kwa sehemu, sio kujitolea kikamilifu. Je! unajua tatizo ni lipi hapa? Ikiwa kujitolea kwako kwa Mungu ni nusunusu - unamtumikia Mungu kwa urahisi wako tu - na unakabiliwa na hali ambapo imani yako katika Kristo inapingana na imani ya jadi, na matarajio ya kitamaduni, na shinikizo la nafasi, na mambo ya ulimwengu huu, unaweza kubaki wa kawaida tu, kujaribu na kuketi kwenye uzio hasa wakati kushikilia imani yako kunapohusisha maumivu fulani, dhabihu fulani. Lakini ukijaribu kuepuka maumivu katika mwili, hivi karibuni utakaribisha maumivu katika roho. Kwa sababu kile kinachoanza na kuridhika kitaisha hivi karibuni kitaishia na ukiukwaji wa kanuni za msingi. Ni suala la muda tu. Njia ya ukiukwaji wa kanuni haina mwisho na inazidi kupanuka. Ndio maana linapokuja suala la mambo ya Mungu, utumishi wa Mungu – ni lazima tujitoe kwa moyo wote. Ahadi kamili, sio kwa sehemu. Hatumtumikii Mungu tu wakati inapotufaa. Hatumtumikii Mungu tu nyakati zinapokuwa nzuri. Hapana!”

Unaweza kutazama mahubiri kamili kwenye TV ya Moyo wa Mungu hapa - https://www.youtube.com/watch?v=rGcRR2HdONY

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
02:44

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions