Mawaidha ya Ndoa: USITUMIE VIBAYA kutokuelewana!
-
0:00 - 0:07Kila ndoa liko na kutokuelewana, lakini
sio kutoelewana yote inaweza jenga ndoa -
0:07 - 0:12Kutokuelewana ni jambo la kawaida hata
katika ndoa iliyo na mungu -
0:12 - 0:16lakini kutoelewana inafaa kuleta
kuelewana zaidi -
0:16 - 0:21Kutokuelewana yafaa ilete kuelewana
kukubwa zaidi -
0:21 - 0:28tunapotelewa na funzo
linatokana na kutokuelewana -
0:28 - 0:34badala ya iwe funzo, tunaishia
kurudia makosa yanayoleta kutokuelewana -
0:34 - 0:44na hio ndio sababu inayofanya mapenzi
inaingiza baridi, tunaishi kwa mambo ya kale -
0:44 - 0:48unamkumbusha bwana yako makosa
yaliyopita -
0:48 - 0:53unamkumbusha bibi yako makosa
yaliyopita wakati kunapokuwa na mzozo -
0:53 - 0:56unakuwa ukirudia ile makosa
-
0:56 - 1:00badala ya kuyafanya yale makosa yawe funzo
badala ya kukomaa kupitia ile kutoelewana. -
1:00 - 1:02kutokuelewana lazima kutajileta
-
1:02 - 1:04kutokuelewana lazima kutajileta
-
1:04 - 1:05mizozo lazima itakuja.
-
1:05 - 1:10lakini sisi ni Wakristo wanaoelewa kwamba
ya kale yamepita -
1:10 - 1:14tunafaa kujifunza kupitia ile kutoku-
elewana. -
1:14 - 1:19Kuna tofauti kati ya uzoefu wa maisha na
mafunzo ya maisha.
- Title:
- Mawaidha ya Ndoa: USITUMIE VIBAYA kutokuelewana!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:19
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! | |

Shiko edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! | |
![]() |
Shiko edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! |