< Return to Video

Mawaidha ya Ndoa: USITUMIE VIBAYA kutokuelewana!

  • 0:00 - 0:07
    Kila ndoa ina migongano, lakini si kila mgongano hujenga ndoa.
  • 0:07 - 0:12
    Kutoelewana ni sehemu ya muungano wowote wa kiungu.
  • 0:12 - 0:16
    Lakini kutoelewana kunapaswa kusababisha maelewano zaidi.
  • 0:16 - 0:21
    Kutokuelewana kunapaswa kuzalisha uelewa zaidi.
  • 0:21 - 0:28
    Tukitumia vibaya kutokuelewana kwetu,
  • 0:28 - 0:34
    badala ya kujifunza kutoka huko, tunaishia kurudia kosa.
  • 0:34 - 0:44
    Na hiyo ni sababu ya kawaida ya upendo kupoa - kwa sababu tunaishi maisha ya zamani.
  • 0:44 - 0:48
    Unamkumbusha mume wako ya zamani.
  • 0:48 - 0:53
    Unamkumbusha mke wako mambo ya nyuma pale migogoro inapokuja
  • 0:53 - 0:56
    na kwa hivyo unaishia kurudia yale yale,
  • 0:56 - 1:00
    badala ya kujifunza kutoka kwa hayo, badala ya kukua kupitia hayo.
  • 1:00 - 1:02
    Kutokuelewana lazima kutakuja.
  • 1:02 - 1:04
    Kutokubaliana lazima kutakuja.
  • 1:04 - 1:05
    Migogoro lazima ije.
  • 1:05 - 1:10
    Lakini kama Wakristo wanaoelewa kwamba yaliyopita yamekwisha,
  • 1:10 - 1:14
    tunapaswa kujifunza kutoka kwayo, kukua kupitia hayo.
  • 1:14 - 1:19
    Kuna tofauti kati ya uzoefu wa maisha na mafunzo ya maisha.
Title:
Mawaidha ya Ndoa: USITUMIE VIBAYA kutokuelewana!
Description:

"Kila ndoa ina migongano lakini si kila mgongano hujenga ndoa. Kutoelewana ni sehemu ya muungano wowote wa kiungu. Lakini kutoelewana kunapaswa kusababisha maelewano makubwa zaidi. Kutoelewana kunapaswa kuleta uelewano mkubwa zaidi. Tunapotumia vibaya kutoelewana kwetu, badala ya kujifunza kutoka kwake, tunaishia kurudia tena. Na hiyo ni sababu ya kawaida ya upendo kupoa - kwa sababu tunaishi maisha ya zamani. Unamkumbusha mume wako ya zamani. Unamkumbusha mkeo yaliyopita migogoro inapokuja na hivyo unaishia kurudia yale yale, badala ya kujifunza kutoka kwayo, badala ya kukua kupitia hayo. Kutokuelewana lazima kutakuja. Kutokubaliana lazima kutakuja. Migogoro lazima ije. Lakini kama Wakristo ambao wanaoelewa yaliyopita yamepita, tunapaswa kujifunza kutoka kwayo, kukua kupitia hayo. Kuna tofauti kati ya uzoefu wa maisha na mafunzo ya maisha."

Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=wM-dvPVFv9w

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:19

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions