Mawaidha ya Ndoa: USITUMIE VIBAYA kutokuelewana!
-
0:00 - 0:07Kila ndoa ina migongano, lakini si kila mgongano hujenga ndoa.
-
0:07 - 0:12Kutoelewana ni sehemu ya muungano wowote wa kiungu.
-
0:12 - 0:16Lakini kutoelewana kunapaswa kusababisha maelewano zaidi.
-
0:16 - 0:21Kutokuelewana kunapaswa kuzalisha uelewa zaidi.
-
0:21 - 0:28Tukitumia vibaya kutokuelewana kwetu,
-
0:28 - 0:34badala ya kujifunza kutoka huko, tunaishia kurudia kosa.
-
0:34 - 0:44Na hiyo ni sababu ya kawaida ya upendo kupoa - kwa sababu tunaishi maisha ya zamani.
-
0:44 - 0:48Unamkumbusha mume wako ya zamani.
-
0:48 - 0:53Unamkumbusha mke wako mambo ya nyuma pale migogoro inapokuja
-
0:53 - 0:56na kwa hivyo unaishia kurudia yale yale,
-
0:56 - 1:00badala ya kujifunza kutoka kwa hayo, badala ya kukua kupitia hayo.
-
1:00 - 1:02Kutokuelewana lazima kutakuja.
-
1:02 - 1:04Kutokubaliana lazima kutakuja.
-
1:04 - 1:05Migogoro lazima ije.
-
1:05 - 1:10Lakini kama Wakristo wanaoelewa kwamba yaliyopita yamekwisha,
-
1:10 - 1:14tunapaswa kujifunza kutoka kwayo, kukua kupitia hayo.
-
1:14 - 1:19Kuna tofauti kati ya uzoefu wa maisha na mafunzo ya maisha.
- Title:
- Mawaidha ya Ndoa: USITUMIE VIBAYA kutokuelewana!
- Description:
-
"Kila ndoa lina kutokuelewana, lakini sio kila kutokuelewana kunajenga ndoa. Kutokuelewana kwafaa kuleta uelewano mkubwa zaidi. wakati unakosa kuifanya kutokuelewana iwe funzo, unaishia kurudia tena na tena ile kutoelewana. Hii ndio inasababisha mapenzi kuwa baridi- kwa sababu ya kuishi kwa mambo yaiyopita. Unamkumbusha bwana yako mambo yaliyopita. Unamkumbusha bibi yako mambo yaliyopita, wakati kunakuwa na mzozo. Mnarrudia mambo yaliyopita, badala ya kubadilishwa na hio mambo. Kutokuelewana kutakuja tu, mizozo itakuja, lakini kama Wakristo wanoelewa kwamba ya kale yamepita, tujifunze kupitia changamoto zile. kuna tofauti kati ya uzoefu wa maisha na mafunzo ya maisha."
Tazama mahubiri haya ya Brother Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=wM-dvPVFv9w
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 01:19
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! | |
![]() |
Shiko edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! | |
![]() |
Shiko edited Swahili subtitles for Marriage Advice: Don’t WASTE misunderstandings! |