-
Ni wakati wa kuaga ama kuambia utumwa kwaheri na upokee uhuru .
-
Niwakati wa kuambia kukandamizwa kwa heri na upokee kuwekwa Huru
-
Pokea uhuru,pokea uhuru leo!
-
Hali yeyote unayopitia , kama ulivyo jiunga kwa mpangilio wa KIUNGU.
-
Nataka ujue - Mungu anajua Mahitaji yako
-
Mungu- Muumba wa mbingu na nchi, Mwenyezi Mungu
-
Anajua hali yako .
-
Anajua Kesi yako (Ombi )
-
Anajua kinachofanyika moyoni mwako sasa hivi.
-
Najua wengi wetu waliojiunga sasa, Mioyo yetu imeumizwa (Kuumia )
-
Kwa sababu ya kutendewa ubaya ama maovu , uchungu uliowekwa kwetu
-
Lakini nataka ujue haya , watoto wa Mungu.
-
Baya lililo fanywa kwako halija kulaani au kukushurutisha uishi maisha ya kuteseka
-
Maumivu auu kuumizwa kulio wekwa kwako , hayawezi kushikilia kwa maisha mabovu ya kuhangaika
-
hapana. hatakama wewe ni mwathiriwa wa kuumizwa, hata kama wewe ni mwathiriwa wa uchungu.
-
usijiangalie kama mwathiriwa.
-
Hiyo tu itachochea uongo.
-
Kwamba , mtu mwingine , ama kitu kingine kina amua hatima yako
-
Chenye Mungu amekuwekea, hakuna yeyote wala chochote kinacho weza kukichukua kutoka kwako.
-
Hakuna uchungu wowote mkali mno , ambao upendo wa Mungu hauwezi ufikia.
-
Hakuna Moyo ilio mbali sana , ambao Mungu hawezi kuufikia
-
Hali yeyote uliyomo sana , Fungua Moyo wako kwa Mungu sasa.
-
Jisalimishe kwa Mungu sasa hivi
-
Kama uko na yeyote unaye hitaji kusamehe .
-
Tunapo karibia kuanza safari hii ya Maombi
-
Kama kunae yeyote unaye hitaji kumsamehe
-
Usingoje Mda mwingine Mwafaka kufanya hivyo
-
hiyo kutosamehe unaouweka , utapelekea kukuzuia wewe
-
kukushikilia nyuma , kukushikilia kwa kifungo
-
Watu wa Mungu , chukua mda sasa na uachilie kusamehe- yeyote!
-
Baya ulilofanyiwa, uchungu au kuumizwa
-
achilia msamaha !
-
Achilia msamaha! sababu ya Yesu Kristo
-
Moyo wako umechoshwa (fishwa )na thambi na majonzi?
-
Inuliwa kwa Jina KUU LA YESU KRISTO
-
Pazia kati ya moyo wako na ROHO MTAKATIFU-
-
ondolewa sasa hivi!
-
Ondolewa kwa Jina KUU YA YESU KRISTO
-
Maeneo yeyote ya maisha yako yalio vyongwa au kunaswa na dhambi , wekwa huru kutokana na kunaswa na dhambi.
-
Wekwa huru kwa JINA LA YESU
-
Sasa hivi , tunaweza kuona ROHO MTAKATIFU akiwa kazini, akikabili kila roho mchafu
-
Waefeso 6:12 inasema , Hatupigani kwa damu na nyama
-
hapana , kuna maroho yasababishayo taharuki na shinikizo
-
katika taaluma zetu , familia zetu , ndoa zetu , mazingiza yetu kazini
-
sasa hivi , kila roho asabibishae taharuki na shinikizo maishani mwetu -
-
na amuru huyo roho mchafu toka inje!
-
Toka , kwa Jina KUU KA YESU !
-
Iamuru , sasa
-
Wewe roho mchafu , umejificha wapi ?.. nakuamuru toka sasa hivi !
-
wewe roho mchafu , unatenda kazi wapi ?
-
Nakuamuru sasa toka .
-
wewe roho ujulikanae, unavizia wapi ?
-
nakuamuru kwa mamlaka katika JINA KUU LA YESU KRISTO
-
TOKA !
-
Sasa , watu wa MUNGU , chukua nafasi au mamlaka uliopewa katika kuamini
-
na uanze kuamuru huyo roho mchafu kutoka maishani wako , kutoka kwa familia yako
-
toka kwa ndoa yako , toka kwa afya yako , toka kwa biashara yako , toka kwa watoto wako
-
Amuru huyo roho mchafu kutoka sasa!
-
Amuru roho mchafu , amuru huyo roho mchafu !
-
wewe roho mchafu , hauna uhalali kukaa kwa familia yangu
-
Hauna uhalali kukaa kwa ndoa yangu , hauna uhalali kukaa kwa afya yangu.
-
nakuamuru toka sasa!
-
ROHO MTAKATIFU ako kazini sasa , fungua roho yako sasa.
-
Angalia,, ni wakati wa kusema kwaheri kwa kifungo na kupokea uhuru.
-
Ni wakati wa kusema kwa heri kwa unyanyasaji na upokee uhuru.
-
pokea uhuru, pokea uhuru leo!
-
wengine wetu tunajua , maeneo ya maisha tunayo hitajika kubadilisha,
-
Tabia hiyo mbaya- lakini kunaroho ya ukaidi.
-
tuna kaidi, tumekiuk, a kanuni na amri za MUNGU , NA NENO LA MUNGU
-
unajua maeneo unayo hitaji kubadilisha , lakini unakaidi
-
naongea na roho yeyote ya ukaidi, kila roho ya uasi,
-
lazima uondoke kwa JINA KUU LA YESU.
-
Hiyo minyororo inayozingira uhuru wako - vunjika !
-
Ndio , unajua tabia hiyo mbaya, inayokushikanisha na uchafu,
-
kukuunganisha na usherati, kukuunganisha na kutotii
-
Tabia hiyo mbaya - vunjika kwa nguvu za ROHO MTAKATIFU.
-
Vunja hiyo tabia mbaya.
-
ivunje !
-
Ako wapi , pepo anayetenda kazi maishani mwako
-
Mapepo hayana ruhusa juu ya maisha yako sababu wewe ni wa MUNGU
-
Mwili wako ni hekalu la ROHO MTAKATIFU
-
Hilo shambulio la kimapepo, linalo leta ugonjwa mwilini mwako
-
natangaza sasa, kila roho nyuma ya magonjwa, mateso , udhaifu
-
toka!
-
shafishwa inje !
-
shafishwa inje ya mifupa, inje ya damu , inje ya viungo , inje ya shashi za mwili
-
Amuru ugonjwa huo , , mateso yasabishwayo na giza
-
kutoka sasa hivi
-
Je umejiunga kwa ibada hii ukiwa kitandani mgonjwa?.
-
ama kuna mtu unamwombea aliye kwa kitanda mgonjwa?..
-
mahali popote unapohisi uchungu , weka mkono wako hapo.
-
kama uko na picha ya mtu inua juu.
-
Watu wa MUNGU, kuna nguvu ya AJABU KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO.
-
Kuna kuvu ya ajabu katia DAMU YA THAMANA YA YESU KRISTO AMBO INANGUVU SANA
-
kupita kuvu yeyote ile ya ugonjwa, mateso na udhaifu.
-
sikiza wewe uchungu , mahali popote ullipoathiri miili yao-
-
naamuru uchungu kutoweka sasa! koma kwa JINA LA YESU
-
Maumivu hayo ya ajabu kichwani mwako !
-
hayo maumivu ya mgongoni !, hayo maumivu ya ajabu tumboni,
-
hayo maaumivu ya ajabu magotini, hayo maumivu ya ajabu miguuni -
-
mahali popote panapo hisi uchungu, ambo uchungu unafanya kazi mwilini mwako -
-
pokea uponyaji !
-
Ndio , Roho MTAKATIFU anafanya kazi sasa.
-
Naona nguvu za MUNGU zikikuponya sasa
-
Naona Nguvu za MUNGU zikikusafisha mwili wako kutokana na mateso.
-
kutokana na magonjwa, kutokana na uchungu.
-
Sasa hivi , endelea kuweka mkono - kila ugonjwa mwilini mwako
-
amboyo iliingia kupitia ndoto mbaya , hilo shambulizi la ajabu la kiroho.
-
Huyo mume wa rohoni wa ki pepo, huyo mke wa rohoni wa kipepo
-
Na sema kwa hiyo ndoto ya kutisha inayo sababisha mateso- sasa ghairiwa !
-
Ghairiwa kwa JINA LA YESU!
-
Sasa ! hayo magonjwa yaliyo unganishwa na mateso ya kijamii
-
Magonjwa yalio pita kutoka kizazi hadi kizazi
-
Lazima ikome na wewe (KUISHA KWAKO)
-
Kila mzunguka , kila minyororo ya magonjwa katika familia yako .
-
Utumwa katika familia yako , uchungu katika familia yako , mateso katika familia yako.
-
Vunjika sasa.
-
Vunjika sasa, anza kuvunjika sasa.
-
Vunja minyororo hiyo ya magonjwa, vunja hiyo minyororo ya vizuizi
-
Vunja hiyo minyororo ya vifungo, vunja minyororo inayoshikilia familia yako mateka.
-
vunja sasa!
-
Ndio watu wa MUNGU , sema kwa Heri kwa mateso na upokee uponyaji .
-
sema kwa heri kwa uchungu, na upokee muujiza
-
Pokea sasa kwa JINA LA YESU
-
Niwakati wa kusema kwa heri kwa kule kurudi nyuma , hicho kizuizi , vilio biasharani
-
Kinacho zuia maendeleo katika masomo yako , maendeleo katika fedha au mapato?
-
Ni nini kinachozuia kazi yako ?.
-
sasa hivi , kwa mamlaka yalio kwa jina LA YESU KRISTO , na amuru kila kizuizi
-
kati yako na mafanikio yako kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO
-
Ondolewa sasa.
-
Fungua kinywa chako ukiwa na imani moyoni mwako na uanze kuvunja kila vizuizi -
-
vunja hiyo zuizi kati yako na mafanikio yako
-
Vunja kwa jina la YESU KRISTO.
-
Kwa wengi wetu , kuna mlima - mlima wa hofu , mlima wa shaka
-
ambao umesimama kati yetu na ukamilifu wa ahadi za MUNGU maishani mwetu.
-
sasa hivi ! naongea na mlima wa uwoga maishani mwako.
-
Naongea na huo mlima wa shaka , unaokukatisha tamaa na kutotoka inje
-
na kuingia kwa kile MUNGU amekuitia kufanya, ambaye MUNGU amekuita uwe.
-
Huo mlima wa uwoga, huo mlima wa shaka -
-
sawazishwa sasa hivi !
-
Hilo Ombi lililo tumwa likakutana na kukataliwa-
-
leo , kwa mamlaka yaliyo katika JINA LA YESU KRISTO
-
Umeondolewa kutoka kwa kukataliwa na kupelekwa kwa kukubaliwa au kibali .
-
umetolwa kwa kukataliwa mpaka kukubaliwa
-
Salimisha ombi hilo kwa mikono ya MUNGU.
-
Ombi hilo la biashara yako , Ombi hilo la fedha,
-
Ombi hilo la kazi , ombi hilo la kazi mpya
-
Ombi hilo la kuteuliwa upya au kwa nyanja mpya salimisha kwa mikono ya MUNGU.
-
Pokea kIBALI !
-
Mtoke sasa kwa Jina LA YESU
-
Asante ROHO MTAKATIFU
-
Unaweza kuona nguvu za NENO LA MUNGU likigusa maisha ya watu!
-
Watu wa MUNGU , haijalishi unahisi msisimko kwa mwili ama la , kitu moja ni wazi-
-
umejixunga na ibada hii kwa uteuzi wa kiungu.
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-