< Return to Video

Ukweli kwamba anakujali haimaanishi ana NIA njema!

  • 0:00 - 0:07
    Ukweli kwamba mtu anakujali haimaanishi ana nia njema.
  • 0:07 - 0:15
    Ukweli kwamba mtu yuko tayari kukusikiliza haimaanishi kuwa mtu huyo anakupenda.
  • 0:15 - 0:22
    Kuna wengi wenye masikio yawashao lakini mioyo yao michanga.
  • 0:22 - 0:26
    Je, unalalamika kwa mtu fulani ili akujali
  • 0:26 - 0:30
    au unajiaminisha kwa mtu fulani ili kupata suluhu?
  • 0:30 - 0:37
    Kwa sababu ikiwa unapendezwa zaidi na huruma kuliko suluhisho,
  • 0:37 - 0:43
    yawezekana ukaudhabihu uadilifu wako kwenye madhabahu ya matatizo yako.
Title:
Ukweli kwamba anakujali haimaanishi ana NIA njema!
Description:

"Ukweli kwamba anakujali haimaanishi kuwa ana nia nzuri. Ukweli kwamba mtu yuko tayari kukusikiliza haimaanishi kwamba mtu huyo anakupenda. Kuna wengi wenye masikio yanayowasha lakini wana mioyo michanga. Je, unamlalamikia mtu fulani ili akusikilize au kumweleza mtu siri ili upate suluhisho? Kwa sababu ikiwa unapendezwa zaidi na kuhurumiwa kuliko suluhu, yaelekea utadhabihu uadilifu wako kwenye madhabahu ya matatizo yako." - Ndugu Chris

Klipu hii imechukuliwa kutoka kwa mahubiri wakati wa Mkutano wa Washirika wa God's Heart TV hivi majuzi. Kwa habari zaidi kuhusu ushirikiano, unaweza kutembelea tovuti yetu hapa - https://godsheart.tv/partnership/

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:44

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions