< Return to Video

Ninaona minyororo hiyo IKIVUNJIKA!

  • 0:00 - 0:07
    Laana hiyo ya kizazi inayohusika na mikosi katika familia yako -
  • 0:07 - 0:11
    Vunjwa sasa hivi!
  • 0:11 - 0:15
    Laana hiyo ya kizazi inayozuia maisha yako,
  • 0:15 - 0:20
    inayoweka vizuizi katika fedha zako, inayoweka vizuizi katika kazi yako - vunjwa!
  • 0:20 - 0:25
    Laana hiyo ya kizazi inayokuunganisha na utumwa,
  • 0:25 - 0:33
    inayokuunganisha na dhiki - vunjwa, katika jina la Yesu!
  • 0:33 - 0:36
    Ninaona minyororo hiyo ikikatika.
  • 0:36 - 0:40
    Ninaona laana hizo zikivunjika.
  • 0:40 - 0:43
    Ninaona kuta hizo zikibomolewa.
  • 0:43 - 0:48
    Ukuta huo wa magonjwa - ubomolewe sasa hivi!
  • 0:48 - 0:52
    Ukuta huo wa jinamizi - ubomolewe!
  • 0:52 - 0:59
    Ukuta huo wa laana za vizazi - ubomolewe!
Title:
Ninaona minyororo hiyo IKIVUNJIKA!
Description:

"Hiyo laana ya kizazi nyumainayohusika na mikosi katika familia yako - ivunjwe sasa hivi! Laana hiyo ya kizazi inayoweka mipaka ya maisha yako, kuweka vikwazo katika fedha zako, kuweka vikwazo katika kazi yako - ivunjwe! Laana hiyo ya kizazi inayokuunganisha na utumwa, inayokuunganisha na mateso - ivunjwe, kwa jina la Yesu! Ninaweza kuona minyororo hiyo ikivunjika. Ninaweza kuona laana hizo zikivunjika. Ninaweza kuona laana hizo zikivunjwa. Ninaona kuta hizo zikibomolewa. Ukuta huo wa magonjwa - ubomolewe sasa hivi! Ukuta huo wa jinamizi - ubomolewe! Ukuta huo wa laana za kizazi - ubomolewe!"

Unaweza kutazama muda wote wa maombi pamoja na Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=uv0_dA6PiGE

Ili kupokea maombi bila malipo kutoka kwa Ndugu Chris kupitia Zoom, tuma ombi lako la maombi hapa - https://www.godsheart.tv/zoom

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:00

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions