< Return to Video

UKWELI Unaobadili Maisha Kwa Wakristo Wote!

  • 0:00 - 0:13
    Mara nyingi, kile tunachojifunza katika mchakato wa kumtafuta Mungu
  • 0:13 - 0:24
    kina thamani zaidi kuliko kile kinachotufanya tumtafute Mungu.
  • 0:24 - 0:37
    Nimeona, nikagundua kuwa kile ambacho watu wengi wanaomba dhidi yake leo
  • 0:37 - 0:48
    ndicho ambacho Mungu anachokitumia kuwatayarisha kwa yale wanayoomba.
  • 0:48 - 0:58
    Na kwa sababu wanakosa mwalimu, wanakosa mafundisho.
Title:
UKWELI Unaobadili Maisha Kwa Wakristo Wote!
Description:

"Mara nyingi, tunachojifunza katika mchakato wa kumtafuta Mungu ni muhimu zaidi kuliko kile kilichotupelekea kumtafuta Mungu. Nimeona, nimegundua kuwa kile ambacho watu wengi wanaomba dhidi yake leo ndicho ambacho Mungu anachokitumia kuwatayarisha kwa ajili ya kile wanachoomba. Na kwa sababu wanakosa mwalimu, wanakosa mafundisho."

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=rjcJyf3Sfnk

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:58

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions