< Return to Video

Jinsi ya kujua kuwa UMEMSAMEHE mtu!

  • 0:00 - 0:03
    Ninawezaje kujua pale ninapomsamehe mtu?
  • 0:03 - 0:11
    Pale unapoweza kukumbuka maumivu bila ya kuyafufua maumivu hayo wakati huu.
  • 0:11 - 0:20
    Wakati kumbukumbu ya wakati uliopita inachochea shukrani kwa Mungu, sio manung'uniko kwa mwanadamu.
  • 0:20 - 0:24
    'Tazama kile ambacho Mungu amenionekania.'
  • 0:24 - 0:27
    Si 'Tazama kile ambacho amenifanya nikipitie.'
Title:
Jinsi ya kujua kuwa UMEMSAMEHE mtu!
Description:

"Ninawezaje kujua pale napomsamehe mtu? Pale unapoweza kukumbuka uchungu bila ya kuufufua uchungu huo wakati huu. Pale kumbukumbu ya wakati uliopita inapochochea shukrani kwa Mungu, si huzuni kwa mwanadamu. 'Tazama kile ambacho Mungu amenionekania.' Si 'Tazama kile ambacho amenifanya nikipitie.'

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:28

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions