How many cars can fit in the parking lot
-
0:00 - 0:03Mgahawa hufunguliwa saa 9.
-
0:03 - 0:05Maegesho yake yana safu 6.
-
0:05 - 0:07Kila safu inatosha magari 7.
-
0:07 - 0:08Kila gari lina matairi 4.
-
0:08 - 0:11Maegesho yanaweza kuingia magari?
-
0:11 - 0:14Subirisha video utafakari.
-
0:14 - 0:17Jaribu kutafuta jibu.
-
0:17 - 0:18Tusome tena.
-
0:18 - 0:20Mgahawa hufunguliwa saa 9.
-
0:20 - 0:24Hii hainamaana kama tunatafuta idadi ya magari
-
0:24 - 0:25Hivyo tunaiacha
-
0:25 - 0:28Pia hatuitaji idadi ya matairi.
-
0:28 - 0:30Hatuulizwi idadi ya matairi.
-
0:30 - 0:32Tunaweza kuiacha.
-
0:32 - 0:34Tunachojali ni idadi ya safu tulizonazo.
-
0:34 - 0:37Na ni magari mangapi yanatosha kila safu.
-
0:37 - 0:44Tuna safu 6 na kila safu inaingia magari 7.
-
0:44 - 0:47Tuna makundi 6 ya 7.
-
0:47 - 0:48Au tunaweza kusema
-
0:48 - 0:53tuna 6 mara magari 7 yanayotosha kwenye safu.
-
0:53 - 0:55itakuwa ni sawa na?
-
0:55 - 0:59Hizi ni 6 saba zimeongezwa.
-
0:59 - 1:05Hii ni sawa na 1, 2, 3, 4, 5, 6.
-
1:05 - 1:08
-
1:08 - 1:13tunaongeza na 7.
-
1:13 - 1:167 + 7 ni 14.
-
1:16 - 1:2021, 28, 35, 42.
-
1:20 - 1:256 mara 7 ni sawa na 42.
-
1:25 - 1:31Hivyo maegesho inaweza kutosha magari 42. Ngoja nichore
-
1:31 - 1:33Tuna safu 6.
-
1:33 - 1:34Hii ni ya kwanza.
-
1:34 - 1:35ya pili...
-
1:35 - 1:36ya tatu...
-
1:36 - 1:37ya nne...
-
1:37 - 1:37ya tano...
-
1:37 - 1:39ya sita.
-
1:39 - 1:42Kila safu inatosha magari 7. Kama unavyoona
-
1:42 - 1:44
-
1:44 - 1:45Moja...
-
1:45 - 1:46Mbili...
-
1:46 - 1:47Tatu...
-
1:47 - 1:50nne, tano, sita, saba.
-
1:50 - 1:52Kuna magari mangapi?
-
1:52 - 1:53Tuna 7.
-
1:53 - 1:5414...
-
1:54 - 1:5621...
-
1:56 - 1:5728...
-
1:57 - 1:5835...
-
1:58 - 2:00jumla ni magari 42.
-
2:00 - 2:04safu 6 ya 7.
- Title:
- How many cars can fit in the parking lot
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
Khan Academy
- Duration:
- 02:06
![]() |
Amara Bot edited Swahili subtitles for How many cars can fit in the parking lot |